Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, November 28, 2012

HII KALI YA MWAKA ASKARI GHAFLA ASIMAMA NA KUANZA KUCHORA CHINI SABABU HAIJULIKANI

HII KALI SIJUI ASKARI HUYU ALIKUWA ANACHORA NINI HAPO CHINI HII NI BARABARA YA MBEYA PEAK KWENDA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
KWAKWELI IMECHUKUA MUDA KAMA DAKIKA TANO AKIENDELEA KUCHORA HAPO CHINI TUMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKE AU JINA LAKE LAKINI TUNAHISI HUWENDA MAHESABU YA KIFEDHA YANAMSUMBUA
SASA KAINUKA NA KUANZA KUFUTA KWA BUTI LAKE MAANDISHI ALIOANDIKA HAPO CHINI

Picha kwa hisani ya Joachim nyambo

2 comments:

Mwakalebela,Dsm said...

Mshahara 120,0000
Matumizi:
Pango 40,000
Chakula/mwezi 50,000
Bili ya maji 5,000
Bili ya umeme 5,000
Nauli ya mtoto shule 26,000
Mama watoto saluni 10,000
Dawa ya meno,sabuni,mafuta 10,000
Vodacom/Tigo/Airtel/Zantel 20,000
Michango Harusi/S.off/kadi 2 60,000
NK........Jumla 226,000/= Inabidi afute tu na kiatu na akikukamata na kosa dogo kabisa lazime akuminye utoe chochote!!!!!
Mwakalebela.

Anonymous said...

Ha ha ha. Hiyo budget balaa. Huyo anaweza akakubambikia bangi mfukoni ili akumalize.