| BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI KATIKA KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI AZIMIO JIJINI MBEYA |
![]() |
| HAPA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA KOCHA AMOSI CHUMA AKITOA MAELEKEZO MAFUPI KABLA YA KUANZA MAZOEZI |
![]() |
| SASA MAZOEZI YAMEANZA |
| WAANDISHI WA KIKE NAO HWAKUCHEZA MBALI KATIKA MAZOEZI HAYO |
![]() |
| JOSEPH MWAISANGO WA MBEYA YETU AKIJARIBU KUMTOKA VENANCE MATINYA |
![]() |
| SAFI SANA MAZOEZI YANAENDELEA |
![]() |
| CHALES MWAKIPESILE AKIENDELEA NA MAZOEZI YA VIUNGO |








2 comments:
mmenihamasisha nami naanza mazoezi huku kwangu kuungana nanyi siku ya mechi za bonanza, endeleeni kuwahamaisha watu waongezeke uwanjani hapo
Duh nashangaa hawataki kunipa namba dawa yao naijua
Post a Comment