Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 8, 2012

MWENYEKITI WA MBEYA PRESS KLABU CHRISTOPHER NYANYEMBE ACHAGULIWA KUWA MJUMBE WA BODI UTPC

Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyanyembe akiomba kura katika nafasi ya ujumbe wa bodi ambayo amepita kwa kura 33 kati ya 64 zilizopigwa

Bw.Deus Buganywa akiomba kura kuwa mjumbe wa bodi leo na kushinda kwa kura 26 kati ya 64 zilizopigwa hivyo kuwa mjumbe katika nafasi hiyo iliyoombwa na wajumbe 7 akiwemo Masau Bwile aliyepata kura (13),Emanuel Bwibo (15),Beny Mwaipaja (15) Andrew Kuchochoma (11)na Hashim Hasan (15)


Rais mstaafu wa Kwanza UTPC Ulimboka Mwakariri akifuatilia uchaguzi wa kidemokrasia wa UTPC


No comments: