![]() |
| Waandishi wa mkoa wa Mbeya wakizunguka mnara wa mwenge kuelekea katika kituo cha BP kutoa tamko lao juu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani |
![]() |
| Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya katikati Christopher Nyanyembe akipokea maandamano ya amani ya waandishi wahabari wa mkoa wa Mbeya |
![]() |
| MC wetu Chales Mwakipesile akimkaribisha katibu mkuu wa Mbeya bress club Kenneth Mwazembe nae atoe neno kidogo |
![]() |
| Katibu wa Mbeya press club akimkarbisha mwenyekiti wa wa wananahabari wa mkoa wa Mbeya |
![]() |
| Mwenyekiti wa Mbeya press club akitoa tamko kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya katika maandamano hayo ya amani |
| Na huu ndiyo mwisho wa matukio yetu ya leo habari kamili juu ya tamko la wanahabari wa Mbeya litakujia baade PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG |









1 comment:
Hongera saana wanahabari wa Mbeya, Songea wameshindwa kwakuwa ni wasaliti wa taaluma na uhai wa binaadamu. Mbeya yetu Blog Big Up
Post a Comment