Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, September 12, 2012

MAANDAMANO YA AMANI YA WAANDISHI WAHABARI MKOA WA MBEYA YAISHA KWA AMANI NA UTULIVU

Waandishi wa mkoa wa Mbeya wakizunguka mnara wa mwenge kuelekea katika kituo cha BP kutoa tamko lao juu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya katikati Christopher Nyanyembe akipokea maandamano ya amani ya waandishi wahabari  wa mkoa wa Mbeya
MC  wetu Chales Mwakipesile akimkaribisha katibu mkuu wa Mbeya bress club Kenneth Mwazembe nae atoe neno kidogo
Katibu wa Mbeya press club akimkarbisha mwenyekiti wa wa wananahabari wa mkoa wa Mbeya
Mwenyekiti wa Mbeya press club akitoa tamko kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya katika maandamano hayo ya amani 
Na huu ndiyo mwisho wa matukio yetu ya leo habari kamili juu ya tamko la wanahabari wa Mbeya litakujia baade

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

1 comment:

Juma Thomas Nyumayo said...

Hongera saana wanahabari wa Mbeya, Songea wameshindwa kwakuwa ni wasaliti wa taaluma na uhai wa binaadamu. Mbeya yetu Blog Big Up