Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, September 4, 2012

Liveee!! Tukio Mazishi ya Mwandishi wa Habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi kijijini Kwao Itete Tukuyu Mkoani Mbeya

 Wawakilishi Mbalimbali wakitoa salam za Pole kwa ndugu wa Marehemu
 Mwakilishi wa Chanel Ten Hamis akitoa pole katika msiba huu muda huu

 Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akitoa pole zake kwa wafiwa 
 Mwanaharakati Francis Godwin akielezea Jinsi Mauti yalivyo mkuta Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi

Rais wa UTPC Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafala wa kuleta Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa anatoa salam za Pole kwa wafiwa.
Dr  Slaa akitoa pole kwa wafiwa wote Muda huu



Wakina mama wakiwa wenye majonzi makubwa sana na huzuni muda huu

Tukio zima Linaletwa kwenu na Tone Media Live Group... Endelea kufuatilia 

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

3 comments:

Anonymous said...

Mungu Kampenda zaidi yetu. Familia itatunzwa na Mungu Baba kama mume wa mjane na Baba ya yatima.
Asanteni kwa wote waliohusika katika safari yake ya mwisho. Mungu Awajazilize palipopungua. Amen

Anonymous said...

Sioni sare ya ccm hapo. Sijui ndio wamesusia au inakuwaje?

Anonymous said...

Mungu ailaze roho ya marehemu David mwangosi mahala pema peponi

AMINA"