Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, September 4, 2012

Live part 1: Tukio zima la Safari ya Mwisho ya mwandishi wa Habari Marehemu Daudi Mwangosi. Waandishi wa Habari Mkoa wambeya wakielekea Katika Mazishi

Hapa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya wakiwa wanajiweka sawa Tayari kwa kuanza Safari yao ya kuelekea Tukuyu kwa ajili ya Mazishi
 Safari ikiwa imeanza kuelekea Tukuyu
 Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, wa kwanza kushoto ndugu Joseph Mwaisango akiwa Live ndani ya Basi kuelekea katika Msiba na Mazishi muda huu
 Safari inaendelea
Hapa Mambo yanaenda na safari inaendelea kama kawaida , ni asubuhi kabisa lakini tunajitahidi kuwaletea tukio zima Live moja kwa moja.
 Safari inaendelea
Hakika hakuna Mwandishi wa habari hata mmoja aliye na Furaha wengi wanaonekana wakiwa na uchungu, juu ya kifo cha Mwandishi mwenzao.

Endelea kufuatilia. Picha zote na Mbeya yetu blog

1 comment:

Baraka mwamoto said...

Poleni kwa msiba ndugu zangu utulivu na amani vitawale