Hii ni barabara ya isanga inayoanzia makunguru mpaka kwenda kukutana na barabara ya kwenda chunya |
kwaujumla barabara hii kwa sasa haifai kabisa na imewaongezea matatizo wakazi wa isanga kwani kukodi gari ndogo kwenda isanga ni gharama kubwa sana kutokana naubovu wa barabara |
Haya sasa ni mahandaki si mashimo |
Hii ndiyo hali halisi ya barabara za isanga jijini Mbeya |
Mamlaka husika wasaidieni wakazi wa isanga maana sasa usafiri wao mkuu ni bajaji gari za abiria zimegoma kabisa kwenda njia hiyo kutokana na ubovu wa barabara hii |
No comments:
Post a Comment