Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, July 21, 2012

Maandalizi ya Uzinduzi kamili wa Mradi wa majisafi na usafi wa mazingira eneo la Swaya Jijini Mbeya, Ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Dr Rais Kikwete umekamilika.

 Bongo kubwa linalo onesha Utambulisho wa Shughuli izo
 Hapa wanaendelea na kukamilisha kazi 

 Baadhi ya Matanki hayo ya maji safi yatakayo zinduliwa kesho na Muheshimiwa Rais 



 Maelekezo yanaendela wakati hatua za mwisho mwisho zinakamilika 

 Mafundi wanakomaa kuweka mabango hapa ya Mkandarsi
Picha zote na Blog ya Mbeya yetu www.mbeyayetu.blogspot.com

Usikose kesho tutakuwa Live kutokea mwanzo mpaka mwisho wa ziara ya Rais, ni si wengine bali Tone Media Live Group

No comments: