Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, July 21, 2012

BAADHI YA SHULE ZETU HUKO CHUNYA

 Katika kuinua soka kwa watoto walio na umri mdogo,suala la Chandimu huhusika zaidi kutokana na kutengenezwa pasipo gharama yoyote. Tazama pichani wanafunzi wameweka mpira juu ya dawati,huku mwalimu akiendelea kufundisha.
Mandhari ya moja ya Chumba cha darasa katika Shule ya Iyovyo

 Mwanafunzi wa darasa la 5 akigalagala chini ya sakafu kutokana na mwalimu kutokuwepo darasani ni katika Shule ya Msingi Iyovyo,Kata ya Totowe Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.

 Utu Chunya mikishwaji wa wanafunzi katika kazi ngumu kama ubebaji tofari,kuchota maji,kuzagaa kuni nk, bado ni tete kufuatia wanafunzi wa wilayani kutumikishwa katika kazi hizo.



 Mwanafunzi akiwa ametoka mtoni kuteka maji ya mwalimu.

 Wazazi wa Kijiji cha Iyovyo wakiwa katika malumbano juu ya suala la michango kufunjwa na Uongozi wa kijiji hivho. Pichani ni chumba cha darasa kikiwa kimejaa vumbi na baadhi ya wanafunzi kukaa chini

Kwa hisani ya Kamanga Chunya

No comments: