Kyela Polytechnic College yazinduliwa rasmi leo na Balozi wa Uingereza nchini, Bi Diane Corner kama anavyonekana hapo pichani. Ni chuo kizuri kinachotoa fursa kwa vijana wa Kyela kujipatia stadi mbali mbali za maisha. Taarifa za ndani ya chuo zinaonyesha kuwa maombi mengi yaliyopokelewa ni vijana kutoka nje ya Kyela, hii ni changamoto kubwa kwani wakiendelea kuchapa usingizi wataonufaika ni wataotoka nje wakati lengo la msingi ni kuwaendeleza vijana wilayani humo.
Picha na Felix Mwakyembe
1 comment:
UKITAKA CHUO HICHO KIWE NA MANUFAA KWA VIJANA WA KYELA NI LAZIMA UIMARISHE UFAULU WAO - KYELA SASA MATOKEO YAKE YA "O" LEVEL NI MABAYA SANA NA HASA YA WASICHANA LAKINI HAKUNA MTU YEYOTE YULE ANAESHTUKIA HALI HIYO. HAKUNA MTU ANAEJISHUGHULISHA KUTAFITI NI SABABU ZIPI ZINAPELEKEA MASS FAILURES ZA KYELA - SIASA TU.
IGENI LUSHOTO KWA MAKAMBA AU SIVYO MTAISHIA KUNAWA TU.
Post a Comment