![]() |
| Kibao kinachoonyesha mtaa wa Mwambenja kulia ndiyo mtaa ambao barabara yake imefutika kutokana na takataka na vichuguu vya nyasi vilivyopo mtaani hapo |
![]() |
| Hii ndiyo barabara ya mtaa wa Mwambenja uzunguni Mbeya |
![]() |
| Hizi ni takataka zinazotupwa mtaani hapo |
![]() |
| Kwa ujumla kipande cha mtaa wa Mwambeja sasa hakina barabara ya uhakika |







No comments:
Post a Comment