Mgeni Rasmi Kaimu katibu tawala wa wilaya Mh. George Geoffrey Annaniah akifungua mashindano ya kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mbeya Mkapa Hall muda huu
Wananchi Mbali mbali waliofika kushuhudia shindano hilo
Mambo yameanza huku warembo wakijimwaga kwa kucheza
Bado warembo wanaendelea kutoa show ya nguvu usiku huu...
Endelea kufuatilia tukio zima ambalo linaletwa kwenu na Tone media Live Group wenye mtandao huu
No comments:
Post a Comment