
HAPA NI MWANZO WA BURUDANI AMBAPO DAR COST TAARABU WANATUMBUIZA MUDA HUU

WATU MBALI MBALI WAKIWA WANAENDA KUCHEZA WAKATI KUNDI HILO LINATOA BURUDANU USIKU HUU

MAMBO YANAZIDI PAMBA MOTO

KWA MBALI KABISA ANAONEKANA MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU AMBAYE AMEDAKWA NA KAMERA YA JIRANI
ENDELEA KUFUATILIA
No comments:
Post a Comment