Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 1, 2012

AIBU: MAMLAKA YA MAPATO JIJINI MBEYA WAKATA MITI NA KUSHINDWA KUONDOA MABAKI HAYO IKIWA LEO NI SIKU YA TANO BADO MABAKI HAYO YAPO HAPO

 NI MBELE KABISA YA JENGO LA TRA MBEYA AMBAPO MITI HIYO BADO IPO
HIVI NDIVYO MITI HIYO INAVYO ONEKANA 
 MITI HIYO IKIWA IMEANZA KUKAUKA
VIONGOZI WA TRA NA WAFANYAKAZI WENGINE WANAPITA HAPA HAPA LAKINI HAKUNA ANAE HANGAIKA KUZUNGUMZIA ITOLEWE

MBEYA YETU INAWAOMBA WAHUSIKA WAFANYE JITIHADA KUITOA MITI HIYO MAANA HAILETI PICHA NZURI KATIKA ENEOO HILO.

No comments: