Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 19, 2012

Wafanyakazi wa Jiji Waweka Michoro ya Bara barani Jijini Mbeya Leo jioni

 Hizi ni alama zilizo wekwa wakati wanaendelea na kuchora 
 Mmoja ya wafanyakazi akiwa anaendelea kuweka alama za Bara barani

 Baadhi ya Michoro ikiwa imemalizika

Baadhi ya wafanya kazi wakiwa wanapumzika 

1 comment:

Mwangwitwa Chris said...

Taja mitaa ili wasiofahamu Mbeya wafahamu au taja hizo barabara majina yake