Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 30, 2012

Waandishi wa Habari waongea na washiriki wa Miss Redds Mbeya katika ukumbi wa Mtenda Soweto Warembo wanaoshiriki Miss Redds Mkoani Mbeya wakiwa wanapita mbele ya waandishi wa Habari mapema leo
 Mratibu wa Mashindano ya Miss Redds Mbeya Amani Mbilo akiongea na waandishi wa Habari kuhusiana na Malengo ya kumpata Miss Redds atakae shindania Miss kanda za Juu kusini na Hatimaye kumpata miss Redds Tanzania
 Mhariri wa Bomba FM ndugu Gabriel Mbwilo ambao ni waandaaji wa Miss Redds Mbeya akiwatambulisha ma miss hao ambao waku jumla ya 12 kutoka wilaya za jiji warembo 5, Mbeya vijijini warembo 3 , Mbalali 1, Chunya 1 na Mbozi mshiriki 1.
 MMoja wa wadhamini wa Miss Redds Mbeya Ndugu Samwel Mtela Mkurugenzi wa Access Computers akiwaeleza waandishi kwamba atatoa Laptop ya kisasa yenye Thamani ya Shiringi laki saba za kitanzania kwa mshindi wa kwanza 


Waandishi Mbali mbali walikuwepo katika eneo hilo leo 

No comments: