Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 11, 2012

LIVEEE!!! SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE JIJINI MBEYA WAZIRI MKUU MH. PINDA AWASILI UWANJA WA SOKOINE KWA AJILI YA KUANZA SHEREHE HIZO

 MHESHIMIWA WAZIRI MKUU AKIWA ANAINGIA UWANJA WA SOKOINE MUDA HUU 
 GARI LA WAZIRI MKUU LIKIWA LIMEWASILI ENEO LA TUKIO 
 CHIPUKIZI WAKIENDELEA NA MAONESHO WAKATI WAZIRI MKUU ANAINGIA MUDA HUU 
 WAZIRI MKUU MH.PINDA AKIWA ANASHUKA KATIKA GARI LAKE NA KULAKIWA NA VIONGOZI MBALI MBALI 
 MUHESHIMIWA WAZIRI PINDA AKIWA ANAVISHWA SKAFU MUDA MCHACHE BAADA YA KUWASILI UWANJA WA SOKOINE 
 WIMBO WA TAIFA UKIWA UNAPIGWA MUDA MFUPI ULIO PITA 


WATOTO WA CHIPUKIZI WAKIENDELEA NA MAZOEZI MUDA HUU 

ENDELEA KUFUATILIA 

No comments: