Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 11, 2012

Livee!! SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU ZINAENDELA UWANJA WA SOKOINE MUDA HUU

 ENEO AMBAPO MWENGE WA UHURU UTAWASHIWA 
 BABY TOT WAKITUMBUIZA MUDA MCHACHE ULIOPITA 
 UMATI WA WATU WALIOFIKA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE 
 HAWA NDIO MAKAMANDA WATAKAO FANYA KAZI YA KUZUNGUSHA MWENGE WA UHURU 


 WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA AKIWA ANAHUTUBIA MUDA HUU 
 WATU WAMEJAA KUNGOJA TUKIO LA KUWASHA MWENGE MUDA HUU

 VIJANA WAKIWA WAMEKAA KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU 

ENDELEA KUFUATILIA KWA UMAKINI TUKIO HILI LIVE MOJA KWA MOJA  HAPA TONE MEDIA LIVE GROUP 

No comments: