Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 3, 2012

Liveee!!! Jijini Mbeya muda huu Mkuu wa Mkoa akutana na waandishi wa Habari ukumbi ya Itemba Green Village katika mdaharo na Sherehe fupi katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani

 Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Abasi Kandoro akifungua kongamano la waandishi wa habari Muda mchachache ulio pita 
 Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyanyembe akimkaribisha mkuu wa mkoa wa Mbeya katika mdaharo huo muda mchache ulio pita 
 Waandishi wa habari wakiwa katika kungamano hilo 
 Baadhi ya waandishi wa habari 
 Wazee pia wapo katika mdaharo huo 
 MC Ndugu Mwakipesile akiwa anaongoza mdaharo muda huu

 Baadhi ya akina mama Wastaafu wakiwa katika mdaharo huo muda huu
 Hapa ni Itemba Green Village ambapo ndipo mdaharo unafanyika
Mwandishi na Mmiliki wa Jukwaa Huru Ndugu Rama S Msangi akiwa anachukua Tukio kwa umakini muda huu

Endelea kufuatitilia kwa umakini tukio ni Live

No comments: