Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, May 7, 2012

DEREVA TAXI WA ZAMANI JIJINI MBEYA NDUGU EDWARD MWAKILASA AJINYONGA JANA JIONI NYUMBANI KWAKE SAE

Marehemu Edward Mwakilasa Enzi za uhai wake 
Hapa ndipo Marehemu Edward Mwakilasa alikuwa akipaki Taxi yake maeneo ya Uhindini Bp
******
Dereva Taxi wa zamani Bwana Edward Mwakilasa amejinyonga jana mapema jioni nyumbani kwake na kufariki muda huo huo, Sababu za yeye kujinyonga bado hazijatajwa Mtandao huu unaendelea kufuatilia na utawaletea habari kamili. 
Marehemu atazikwa leo katika makaburi ya Nonde Mbeya 
Mungu ailaze Mahali pema peponi Roho ya Marehemu

2 comments:

Anonymous said...

Poleni wana Mbeya, nilimfahamu marehemu pole kwa watoto na familia yake kwa ujumla!

Unknown said...

huyu jamaa namfaham kbs aisee