Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 20, 2012

LIVEEEE!!!!! MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WA JIJI LA MBEYA MUDA HUU

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abass Kandoro akihimiza jambo muda huu wakati akiongea na waandishi wa habari ofini kwake 
 Baaadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wana msikiliza kwa umakini  mkuu wa Mkoa muda huu
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa wameketi wakati wa kikao cha Mkuu wa mkoa muda huu
 Mwandishi wa habari Ndugu Mwakyembe Felix akiwa katika mkutano muda huu
 Baadhi ya waandishi wakiwa wanasikiliza na wengine waki andika mambo Muhimu muda huu 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Muheshimiwa Abass Kandoro akiendelea na kikao na waandishi wa habari hapa ana sisitiza jambo la muhimu sana linakuja baadae.

Habari kamili inakuja

No comments: