Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 13, 2012

Livee!! Kali nyengine: Kutoka Jijini Mbeya muda huu wadau wapewa vinywaji ndani Harusi Ukumbi wa Mkapa kisa Waalikwa wanaiba vinywaji sana na mapochi yao makubwa.

HII NI SEHEMU KUU AMBAYO MAHARUSI WANATEGEMEA KUKAA MUDA MCHACHE UJAO
HII NI MEZA KUU AMBAPO WENYEWE HAWAJA WEKEWA RAMBO

HIVI NDIVYO UKUMBI WA MKAPA UNAVYO ONEKANA KWA NDANI 
 WAKIWA WANA ANDAA VINYWAJI KABLA YA KUWAPA WAGENI WAALIKWA MUDA HUU
 VINYWAJI VIKIWA VIMEKAMILIKA KWA AJILI YA KUGAWIWA KWA WAGENI WAALIKWA 
WAGENU WAALIKWA WAKIWA WANAPITA KUPATA RAMBO AMBAYO INA VUNYWAJI NDANI MUDA HUU
 BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WAKIWA WANAPATA VINYWAJI MUDA SI MREFU

 MMOJA WA WANAKAMATI WAKIWA WANAWEKA VINYWAJI SAWA KWA AJILI YA KUWAPA WAGENI WAALIKWA
WADAU WAKIWA WAMEWEKA RAMBO CHINI HUKU WAKIPATA VINYWAJI

2 comments:

Anonymous said...

Harusi nzuri ila wameharibu kwa kufanya mambo ya kishamba puuu!! Wagen mmezalilishwa

Anonymous said...

kweli aibu jamani