Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 22, 2012

LIVE!! Kamata kamata ya Magari ya One way inayo tokea Posta kuelekea BP Jijini Mbeya inaendelea sasa!!

 Askari wa usalama wa barabarani Muda huu akimkamata jamaa aliye vunja sheria ya One way inayo shuka kwenda kulia tuu maeneo ya Bp muda huu.

Hivi ndivyo eneo hili linalo onekana ambalo watu wengi sana wanakuwa wanajisahau kama ni one way... 


Angalizo: Kwa wakazi wote wa Jijini Mbeya na wageni mnao temnbelea Jiji hilo mfahamu kuwa hii bara bara inayo shuka eneo la TRA ama BP ni one way hivyo ukishuka chini hutakiwi kupandisha, ukipandisha utalipishwa Faini. 
Picha na Stan Lambat aliyepo eneo la tukio sasa

2 comments:

Anonymous said...

Hii ndo inatakiwa WADAU tueleweshane,kwani hao wasimamiaji sheria hizi HAWATUSHAURI lolote wala kutufundisha watumiaji,yaani katika watu wabaya kabisa katika serikali yetu ni hawa MAPOLISI,yaani WANAJIFICHA ili ufanye KOSA,na wakikumata hawakuelewi hata kama we ni mgeni katika mji huu,na mbaya zaidi hata ALAMA zenyewe hazipo,hii kitu inaumiza kwelikweli.

Anonymous said...

Traffic police anachekelea kwamba kapata ulaji!!!!