Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 18, 2012

Hatimaye Idara ya Maji yashughulikia Chemba ya maji taka iliyo Bomoka eneo la kota ya polisi, Ni baada ya Mbeya yetu Blog kupost uharibifu huo

 Hali sasa ni Shwari baada ya Idara ya maji kurekebisha chemba hiyo ambayo inasemekana kudumu kwa Miezi mitatu
Hii ni Barabara ambayo awali ilikuwa kama mto, Maji taka yalikuwa yakipita hapo


KABLA YA HAPO MAMBO YALIKUWA HIVI
HILI NI ENEO AMBALO MAJI TAKA AMMBAYO YAMECHANGANYIKA NA KINYESI YANATOKA KATIKA CHEMBA ZINAZO TOKA KOTA ZA POLISI BARA BARA YA KUELEKEA SABA SABA KABLA YA KUTENGENEZWA
MAJI YAKIWA YANATOKEA KATIKA CHEMBA HIYO KABLA YA KUTENGENEZWA HILI NI JENGO LA IDARA YA MAJI AMBAO NDIO WAHUSIKA WAKUU NA WAPO JIRANI KABISA NA ENEO HILO.


No comments: