Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 17, 2012

Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatia aibu wakosa vitendea kazi vya kuweka Jiji safi wafanyakazi watumia magunia yaliyo chakaa na mabox kubebea taka taka!

 Huyu ni mmoja wa Wafanyakazi wa Jiji ambae anafanya kazi hizobila vitendea kazi
 Hapa akipokea Taka taka mbali mbali


 Mapumzikoni baada ya kazi

 Hii ndio hali halisi ya vifaa vinavyo tumika kuzolea Taka taka Jijini Mbeya

Mwisho wafanyakazi hao wamewaomba wapatiwe vifaa ambavyo vitawasaidia kufanya kazi vema kama groves, na mikokoteni pia koleo za kuzolea taka   

2 comments:

Anonymous said...

My REACTION IS NOT FUNNY,INTERESTING OR COOL IS SAD .

Anonymous said...

Pamoja na kutumia vifaa dhaifu lakini mama wa watu anajitahidi, mtaa ni msafi.