Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 1, 2012

CHADEMA YACHUKUA KITI CHA UDIWANI KIWIRA


Matokeo Kamili ya Kiwira: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kula zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema wameshinda katika uchaguzi wa UDIWANI

No comments: