| Mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi Bi Happiness Kwilabya ajiunga na CHADEMA, akifuatana na wanachama 18 Bi Happiness akikaribishwa jukwaani na viongozi wa chadema |
| Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Mbozi Bwana Joseph Mwachembe akimkabidhi kadi ya uwanachama wa chadema Bi Happiness |
| Bi Happiness akivishwa skafu ya chadema |
| Maelfu ya wakazi wa Mbozi walihudhuria mkutano huo |
No comments:
Post a Comment