Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya John Mwakipesile akiwapa pole familia na ndugu wa marehemu mzee Malakasuka kabla ya kuanza kuaga mwili wa marehemu |
Mke mkubwa wa marehemu Asobenye Malakasuka akiuaga mwili wa marehemu mumewe nyumbani kwao uzunguni mbeya |
Mheshimiwa diwani kata ya sisimba akiongozana na mheshimiwa mbunge wa mbeya mjini joseph mbilinyi wakipita kutoa heshima za mwisho |
Watoto wa marehemu malakasuka wakitoa heshima za mwisho kwa baba yao mpendwa |
Mwili wa marehemu Asobenye Malakasuka ukishushwa kaburini |
Dada mkubwa wa marehemu akiweka shada la maua |
Mke mkubwa wa marehemu akiweka shada la maua |
Hawa ni watoto na wajukuu wa marehemu mzee Malakasuka |
No comments:
Post a Comment