Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 1, 2012

BREAKING NEWSSS AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA IWAMBI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO

Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa  gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo







Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao

Habari kamili tutawaletea kesho asubuhi

1 comment:

Anonymous said...

iyo kali.. baada ya kulilia hali za watu na alopoteza maisha unawaza gari?! kaazi kwelikweli