Habari na Mwandishi wetu.
Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kushirikiana na kikundi cha MJATA kwaajili ya kupinga na kukemea upigaji nondo na mauahji kwa watoto wa dogo
Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa MJATA mkoani mbeya Bwana Shayo Soja Masoko alipo kuwa akihutubia katika mkutano wa kupinga uvitendo vya koikatili vinavyo jitokeza katika jamiii mbali mbali
Aidha Shayo ameongeza kuwa chama cha mjata ni chombo kinacho tumika kusuluhisha migogoro mbali mbali inayo jitokeza katika jamiii hivyo wananchi wanatakiwa kupinga masuala yote ya ukatili wa watoto wadogo wasio kuwa na hatia.
Naye Aizaki Jaksoni kutoka katika ofisi ya mwana shelia mkuu mkoani mbeya amewataka wanawake kuaaacha tabia ya kutotupa watoto wao.
No comments:
Post a Comment