Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, February 27, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA JENGO LA WAKULIMA WA CHAI NA KITUO CHA MAFUNZO YA WAKULIMA WA CHAI RUNGWE MBEYA

Makamu wa rais Dkt Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la wakulima wadogo wa chai na kituo cha mafunzo ya wakulima wa chai Rungwe
Mara baada ya  uzinduzi Makamu wa rais Dkt Bilal aliongea na wakulima hao wa chai 
Makamu wa rais Dkt Bilal akimsikiliza Mkurugenzi wa wakulima wadogo wa chai Bwana Leby Hadson mara baad ya kuzindua jengo hilo
Mkamu wa rais dkt Bilal akisalimiana na mhasibu wa chama hicho cha wakulima wadogo wa chai Bwana  Juma  Liganja
Makamu wa rais Dkt Bilal akiwa na mwenyeji wake  mwenyekiti wa chama cha wakulima wadogo wa chai Bwana Jonson  Mwakasege wakiangalia ngoma ya kinyakyusa lin'goma
Baadhi ya wakulia wdogo wa chai wakimsikiliza mgeni rasmi Makamu wa rais Dkt Bilal
Hili ndilo jengo alilozindua makamu wa rais Dkt Bilal


picha na Ally Kingo

No comments: