Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 7, 2012

KIJANA MDOGO AJERUHIWA VIBAYA BAADA YA KUTOA MALALAMIKO YAKE DHIDI YA KUPUNJWA MAFUTA DUKANI KWA JIRANI.

Mtoto anayefahamika kwa jina la Said Omary (13) mkazi wa Uyole jijini Mbeya, amejuruhiwa vibaya baada ya kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani.
Sehemu ya kichwani aliyojeruhiwa na mmiliki wa duka, baada ya mtoto Said Omary kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani.
Sehemu ya mgononi aliyojeruhiwa mtoto saidi baada ya kupigwa na jirani yake kwa kile kilichodaiwa, kutoa malalamiko ya kupimiwa mafuta ya kula kidogo dukani, hali iliyopelekea mmiliki wa duka hilo kumfungia ndani na kuanza kumpiga kwa kutumia vitu vyenye ncha kali na kisha kuvuta sehemu za siri mpaka alipookolewa na majirani.

No comments: