Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 7, 2012

BREAKING NEWSSS WAFANYABIASHARA SOKO LA SOWETO MBEYA WAGOMA KUPANDISHIWA USHURU SASA WAJIANDAA KUANDAMANA MPAKA KWA MKURUGENZI WA JIJI

Baadhi ya wafanya biashara soko la soweto jijini mbeya wakiwa katika makundi makundi kujiandaa kwa maandamano kupinga ongezeko la ushuru wa soko toka sh 200 na kuwa sh 300 kwani wanadai ongezeko hilo nikubwa na hawaelewi  pesa inakwenda wapi maana soko ni chafu mazingira ya kufanyia biashara hayafai 
Baadhi ya vijana wakijiandaa kuchoma matairi 

Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la soweto wakipeana mikakati ya mgomo huo
Wateja wakiwa wanashangaa na hawajui la kufanya maana hakuna kinachouzwa sokoni hapo

No comments: