Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 7, 2012

POLISI MBEYA WAPATA MKUU WA UPELELEZI (RCO) MWINGINE


Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi (RCO) mgeni wa Mkoa wa Mbeya Chacha (katikati aliyevalia koti Jeusi), akiwa na mtunza hazina wa MUJATA mkoani  Mbeya Kanali Mstaafu Silvester Matiko (kulia) akikaribishwa katika Ukumbi wa Mji mdogo wa Mbalizi katika sherehe za kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi hilo mkoani (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam

Kutoka kushoto aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam, akifuatiwa na Mwenyekiti wa MUJATA mkoani hapa Chifu Shayo Soja katika sherehe za kumuaga na kumkaribisha RCO mpya

Picha na Ezekiel Kamanga

No comments: