Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, January 4, 2012

Mnamkumbuka huyu dada!!

Kwa wakazi wa Mbeya na mliyoishi Mbeya na DSM je huyu dada yupo? na kama yupo yupo wapi na anafanya nini wengi tulimfahamu kwa jina moja tu MARY tunampenda kwa vichekesho vyake na ucheshi wake sisi blog ya mbeya yetu tunawaomba taarifa ya dada huyu ilitujuwe yupo wapi tumtembelee atupe hadithi kidogo ya maisha yake

3 comments:

Anonymous said...

inasemekana alifariki kwa kugongwa na gari dar ni muda kidogo

babab said...

Hee Mwe! da Mere.... umemkuta wapi sisi enzi zetu tulikuwa tunamuita meri kichaa nakumbuka siku moja alipomkama jamaa aliyemzalisha ilikuwa hadharani jamaa alipata shida kujificha....

Anonymous said...

Mwaka 2010 mwanzoni nilimuona kwenye corner ya Serena(Movenpick) na Nyumba ya Sanaa alikuwa amekaa pale na watoto wake wawili. Nilifurahi sana kumuona Da Mere.