Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 7, 2012

MAGARI MATATU YAGONGANA JIONI HII MAENEO YA MWANJELWA



Magari matatu yamegongana jioni hii maeneo ya mwanjelwa dereva wa gari aina ya toyota carina tax alisimama ghafa na ndipo magari yaliyofwatia nyuma kushinda kushika breki na kugongana




Madereva wa magari hayo wakijaribu kuwekana sawa huku kila mmoja akimlaumu mwenzake ndiye aliyosababisha ajali hiyo huku mingine akidai mvua imesababisha ajali hiyo kwani alipokanyaga breki gari yake iliteleza