Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, December 17, 2011

WAKAZI WA SOKO MATOLA MBEYA WAGOMA KUONGEA NA MAAFISA ARDHI WA JIJI LA MBEYA BAADA YA KUPEWA BARUA YA ILANI YA KULIPWA FIDIA YA MAJENGO YAO

Wakazi wa sokomatola wakitoka nje ya kikao baada ya kutoelewana na maafisa ardhi wa jiji la mbeya na kuwaambia maafisa hao kuwa hawawezi kuwapa jibu lolote la maana wenyewe wanahitaji kuonana na mkuu wa wilyaya mbeya  mbunge wa mbeya mjini mkurugenzi wa jiji la mbeya na mh meya ndiyo watakao weza kuelewana na kuwapa majibu ya maswali yao
Afisa ardhi wa jiji la Mbeya Castor Ntara wa katikati akijaribu kuwaelewesha wakazi hao wa sokomatola kuhusu barua walizowapa wakazi hao  kulipwa fidia maeneo yao hata hivyo wakazi hao waligoma kumsikiliza
Hii ndiyo mitaa ya sokomatola ambayo wakazi wake wamepewa barua ya ilani ya kulipwa fidia
Moja ya wakazi wa sokomatola  mjukuu wa mzee mwampyate akizungumza kwa ukali hatuhami wala hatutaki fidia zenu mle wenyewe hii ni mji yetu waliyotuachia babu zetu katafuteni maeneo mengine lakini siyo huku soko matola 
Afisa ardhi akiondoka katika kikoa hicho cha bila maelewano

No comments: