Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, December 29, 2011

Bara bara mpaka zinafikia Hatua hii .. Wizara Husika wako wapi?









Je kama Hali itaendelea hivi Tutafika?

2 comments:

Anonymous said...

wizara haina pesa,pesa ipo kwa ajili ya tahadhari na mambo mengine.Lakini siyo mambo ya maendeleo.

Anonymous said...

Halafu eti MBEYA JIJI??????ha ha haaaaa,mnachekesha kweli wakazi wa Mbeya,hivi mnakubali kudanganywa namna hii jamani???AMKENI pls hii ni AIBU,sijawahi ona mji wenye miundo mbinu mibovu ka huu,Barabara mbovu kweli kweli,yaani mtu akikuambie umfuate kule Block T,hakiamungu na magari yetu haya ya MCHINA ni soo,cheki mashimo hapo STENDI pakuingilia,pale META hospital ni balaa.Mbeya sio JIJI ni KIJIJI kikubwa tu baaaaasi.