Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 4, 2011

VITUKO VYA JIJI LA MBEYA YAUZA KIWANJA KATIKATI YA BARABARA FOREST YA ZAMANI

Barabara ya kwanza forest ya zamani imefungwa baada ya kuuzwa kwa kiwanja ambacho bado mmiliki wake hajapatikana baadi ya wakazi wa mtaa huo wanasema kiwanja ni cha msikiti wa forest huku wengine wakisema ni cha tajiri mmoja ambaye bado hawamjui jina lake hata hivyo mbeya yetu ilifika ofisi za ardhi jiji na kuambiwa wahusika hawapo mpaka jumatatu 
Mmiliki wa kiwanja hicho kamwaga mawe na kuweka uzio wa mabati kuto ruhusu tena kupita kwa barabara hiyo
Huu ndiyo mtaa uliyofungwa wa forest barabara  ya kwanza jijini mbeya
Hiki ndicho kiwanja kilichouzwa katikati ya barabara ya forest
Barabara inayoonekana mbele ni barabara ya kwenda BOT na Mahakama kuu iliyopigwa vibao ni barabara iliyofungwa

No comments: