Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 4, 2011

BREAKING NEWSSS VITUO VYA MAFUTA MBEYA VYAGOMA KUTOA HUDUMA

Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma kuuza mafuta aina  ya Petrol sababu ya kupinga hatua ya  EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo  wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa
kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao
Baadhi ya wananchi waliobahatika kupata mafuta katika kituo cha ORXYambacho kilikua kinauza lita tano tano kwa kila mmoja

No comments: