Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 22, 2011

TAWI LA DIAMOND TRUST BANK (DTB) MBEYA LAZINDULIWA

 MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro  akikata utepe kuzindua, Tawi la Benki ya Diamond Trust (DTB) katika makutano ya barabara ya Lupa na Soko, jijini Mbeya.

Mkuu wa mkoa Mbeya 
Akizungumza katika uzinduzi huo Kandoro alizitaka taasisi za fedha nchini kuboresha huduma kwa wateja ili wasitumie muda mrefu kusubiri huduma za benki.

“Taasisi za kibenki zinatakiwa kuondoa msongamano kwa wateja  ili wasipoteze muda wa watu, kwani benki ni chombo cha uwezeshaji wa watu kutekeleza mambo yao kwa haraka,


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Abdul Samji alisema tawi la Mbeya ni la kwanza kwa mikoa ya kusini na inatarajia kufungua matawi mengine katika mikoa mingine.

Meneja wa tawi la DTB MBEYA Fank Kiparamoto akiwashukuru wageni waalikwa waliyohudhuria uziduzi huo
Meneja wa tawi la DTB tawi la Mbeya akipokea zawadi toka kwa mkuu wa mkoa Mbeya
DTB TAWI LA MBEYA

No comments: