Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 22, 2011

Serikali Ya China Yamwaga Mikopo isiyona na Riba Dola Za Kimarekani Milioni 89.8 Kwa Serikali Ya Tanzania

Makamu Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang Yaoping(kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto ) leo jijini Dar es salaam mara baada ya kutia saini hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6
Waziri wa Fedha wa Tanzania Mustafa Mkulo(kushoto) na Makamu Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang Yaoping(kulia) akibadilishana hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6 jana jijini Dar es salaam .
Makamu Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang Yaoping(kulia) akitoa hotuba leo jijini Dar es salaam mara baada ya kutia saini na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6 jana jijini Dar es salaam .
Makamu Waziri wa Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Jiang Yaoping(kulia) akitoa zawadi kwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto )leo jijini Dar es salaam mara baada ya kutia saini hati ya mikataba mitatu(3 )ya mikopo isiyo na riba yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 89.8 na barua ya msaada wa ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere kwa thamani ya Dola milioni 5.6 jana jijini Dar es salaam
Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Serikali ya Watu wa China wakiwa katika mkutano jana jijini Dar es salaam na wenzao wa Jijini Dar es salaam.Picha Zote na Vicent Tiganya-Maelezo, Dar es Salaam.

No comments: