![]() |
| Hii kali waendesha baiskeli wakiwa wamevaa kofia za kujikinga na ajali mara nyingi kofia hizi hutumia waendesha pikipiki |
![]() |
| Mama sanga muuza bagia maarufu jijini mbeya akipitisha bagia kwa wateja wake |
![]() |
| Hii ndiyo hali halisi ya watoto wetu muda wakuwa shule wenyewe wapo mitaani kuokota mbao chakavu na mikaa kwenda kuuza kwa mama ndilie wapate ridhiki yao |




1 comment:
umaskini hautaisha mbeya kama watoto hawaendi shule
Post a Comment