Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, November 17, 2011

JIJINI MBEYA LEO

Hii kali waendesha baiskeli wakiwa wamevaa kofia za kujikinga na ajali  mara nyingi kofia hizi hutumia waendesha pikipiki
Mama sanga muuza bagia maarufu jijini mbeya akipitisha bagia kwa wateja wake
Hii ndiyo hali halisi ya watoto wetu muda wakuwa shule wenyewe wapo mitaani kuokota mbao chakavu na mikaa kwenda kuuza kwa mama ndilie wapate ridhiki yao

1 comment:

Anonymous said...

umaskini hautaisha mbeya kama watoto hawaendi shule