Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, November 16, 2011

BRAKING NUUUZ: MOTO WACHOMA NYUMBA KATIKA KAMBI YA JESHI LUGALO CHANZO NI KUWAKA NA KUZIMIKA KWA UMEME


Wakazi wa eneo hilo wakishuhudia moto baada ya kuwa wameokoa mali za watu...
Moto Ukiwa umepamba Moto huku wanajeshi wakiwa wanafanya Juhuzi za kuzima
wanajeshi wakiendelea kuzima moto
Wanajeshi wakifanya kazi kwa ushirikiano wa ukaribu kabisa kuokoa mali za watu
Wanajeshi wakiendelea kuzima Moto zaidi Kunusuru mali na maisha ya wakazi eneo Hilo
wanajeshi wakiendelea kuzima moto wakati kikosi cha kuzima moto kikisubiriwa ambacho kiliwasili baada ya moto kuwa umedhibitiwa kwa 99%
Gari Maalum la zima Moto likiwa eneo la Tukio Saa moja baada ya moto Kutokea
Baadhi ya Vitu vilivyo okolewa


************

ZIMA WAKA ZIMA WAKA YA UMEME HAPA JIJINI DAR ES SALAAM NDIO ZIMESABABISHA MOTO KUWAKA KATIKA NYUMBA ZA JESHI HUKO KAMBI YA LUGALO HATA HIVYO WAMEOKOA BAADHI YA MALI NA ZENGINE KUTEKETEA. WANAJESHI WAMEJITAHIDI SANA KUFANYA KAZI YA KUZIMA MOTO KUTOKANA NA KWAMBA GARI LA ZIMA MOTO LILIFIKA SAA MOJA NA NUSU BAADAE

HABARI IMELETWA NA RIPOTA WETU
ENOCK TARIMO

No comments: