Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 3, 2011

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja Azindua Kamati Maalum Ya Kusimamia Mchakato Wa Uagizaji Mafuta Nchini Kwa Pamoja


Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya kusimamia mchakato wa uagizaji mafuta wa pamoja, jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu na Mwenyekiti wa Bodi wa EWURA, Simon Sayore.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo (kushoto) akisikiliza kwa makini alipokuwa akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja katika hafla hiyo.Picha Zote na Mdau Richard Mwaikenda

No comments: