Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr
James Nsekela akiingia katika ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma
tayari kwa kufungua mkutano wa mwaka wa marafiki wa elimu.Pamoja nae
Kulia ni Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia,Rafiki wa elimu Bi
Philipina Labia, Rev Samiaeli Mteri,Meneja wa Idara ya Ushiriki wa
Wananchi Pius Makomelelo na meneja wa idara ya upatikanaji taarifa Bwana
Robert Mihayo
Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr
James Nsekela
Nsekela akiingia katika ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma tayari kwa
kufungua mkutano wa mwaka wa marafiki wa elimu.
No comments:
Post a Comment