MAREHEMU MZEE AZARIA MATUMBA FUNGO
= = = = = =
FAMILIA YA MAREHEMU AZARIA MATUMBA FUNGO, INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAO MPENDWA AZARIA FUNGO KILICHO TOKEA JANA 07.09.2011 GHAFLA JIJINI DAR ES SALAAM, MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUSAFIRISHWA KUELEKEA MKOANI MBEYA KWA MAZISHI YATAKAYO FANYIKA KATIKA MAKABURI YA SABA SABA SIKU YA JUMAMOSI. KWA NIABA YA MWANDISHI MKUU WA BLOG HII NDUGU JOSEPH MWAISANGO AMBAE MZEE AZARIA FUNGO NI BABA MKWE WAKE, TUNAPENDA KUWAPA POLE FAMILIA YA MAREHEMU KWA MSIBA MZITO. MUNGU AWAPE NGUVU.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
-AMEN-
2 comments:
REST IN PEACE BABA YETU
jamani saaaad huyu mubaba kibongee alikuwa mungu amlaze pahali pema awatie nguvu watoto wake wooote
Post a Comment