Vodacom Miss Tanzania 2011,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu, Alexia William, baada ya utangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Kufuatia Msiba wa kitaifa wa ajali ya meli ya Spice uliotokea jana siku iliyokuwa tayari imetangazwa kufanyika shindano hilo, Wadau wa fani hiyo ya ulembo wamekuwa wakotoa comment zao katika mtandao wa Facebook, kuwa waandaaji wa shindano hilo wangeonekana ni wenye busara iwapo wangeweza kutangaza kuahirisha shindano hilo ili kupisha maombolezo ya shindano hilo ambalo halikuweza kuahirishwa hadi alipotangazwa mshindi wa shindano hilo.
Wahusika lifanyieni kazi hili na kutoa tamko kwa wadau wenu jambo lililosababisha kushindwa kuahirisha shindano hilo.
No comments:
Post a Comment